GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

KAMWE KUCHELEWA 20:1-16


Historia: Katika wakati wa Yesu maisha ya wafanyakazi yalikuwa ya uhakika sana. Gawanya wastani wa mshahara wa mwaka kwa sasa katika sehemu 300 utapata thamani ya dinari moja. Masaa yalihesabiwa kuanzia saa 12 asubuhi. Mmiliki wa nyumba katika mfano huo amemwakilisha Mungu na shamba linawakilisha Ufalme wake.

1. MFANO
  • Mwenye nyumba alikwenda kuwaajiri wafanyakazi katika shamba lake mara ngapi kwa siku (1-6)?

  • Kwa nini mwenye nyumba alitoa taarifa kwa kundi la kwanza mshahara utakuwa kiasi gani (2,4)?

  • Fikiria sababu mbalimbali kwa nini baadhi ya wafanyakazi hawakuwa katika soko saa kumi na mbili asubuhi.

  • Kwa nini mwenye nyumba hakuwaajiri watu bora tuu bali mtu yeyote ambaye alikuwa anapatikana?

  • Kwa nini hapakuwa na mtu yeyote aliyeajiriwa kutoka katika kundi la mwisho la wanaume (6-7)? Fikiria sababu mbalimbali.

  • Linganisha utendaji kazi katika siku ya kwanza ya kundi la kwanza na kundi la mmwisho (7.12). Ni kundi lili lililovutia zaidi?

  • Hebu tudhani kulikuwa na watu watano katika kundi la mwisho. Ni fedha kiasi gani (kwa fedha za yetu) mwenye nyumba angeweza "kuokoa" kama asingelikuwa ameajiri kundi lile?


  • Kwa nini mwenye nyumba alianza kwa kulipa wale walioajiriwa mwisho (8)?

  • Kwa nini kundi la kwanza lililalamika ingawa wao walipewa kile walichoahidiwa?

  • Je kwa maoni yako mwenye nyumba aliwalipa mishahara kwa haki? Toa maoni yako

  • Kwa nini mwenye nyumba alitaka kutoa kiasi sawa kwa kila mtu? Jaribu kutafuta maelezo mengi / sababu kama unavyoweza.

    2. TAFSIRI YA MFANO
  • Kwa nini Mungu anataka mtu yeyote na kila mtu afanye kazi katika utawala wake?
  • Je, "mshahara" rejelea katika mfano huu?
  • Kwa nini mshahara ni sawa kwa kila mtu katika ufalme wa Mungu?
  • Ni katika muda gani "siku" umewahi kuitwa katika utawala wa Mungu?
  • Nani unadhani ana bahati: mtu ambaye amefanya kazi katika ufalme wa Mungu kwa maisha yake yote, au mtu aliyeokolewa katika dakika ya mwisho? Toa sababu.
  • Unajisikiaje kama mtu mwingine anasifiwa katika kanisa lako na unajua ya kwamba umefanya/unajua mengi zaidi yake ?
  • Jinsi unafikirianini wewe kama siku ya mwisho Mungu atakupa mshahara sawa, tuseme, mtume Paulo?
  • Je mstari wa 16 unatupa mwanga gani katika wa mfano huu?
    Yesu anasema na wewe leo: "Wewe pia nenda mukafanye kazi katika shamba langu!" Utamjibu nini?
    HABARI NJEMA: Yesu mwenyewe alifanya kazi Ngumu katika ufalme wa Mungu. Kwa kweli, katika siku ya mwisho alifanya kazi kwa bidii kubwa kila mtu mwanaume na mwanamke duniani aweze kulipwa mshahara wa denari moja kila mmoja kwa kile alichovuna.

    ***

    Version for printing    
    Downloads    
    Contact us    
    Webmaster