GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

1. Habari njema za mafunzo ya Biblia kwa watoto wanaoelekea katika utu uzima



Maswali haya yalipitiwa upya kwa ajili ya watoto na vijana na Outi Paukkunen, aliyekuwa mratibu wa FLOM, na yalitafsiriwa kutoka katika lugha ya Kifini kwenda Kiingereza na Helena Rantanen.

  • Maswali katika mwongozo huu ni kwa ajili ya watoto wenye umri kati ya miaka 10 hadi 12, lakini ikihitajika yaweza kutumika katika makundi ya umri kati ya miaka 7 na 14
  • Maswali pia yalijaribiwa kwa wavulana. Majibu yalikuwa ya kutia moyo.
  • Kila kikao kisizidi zaidi ya dakika 40.
  • Kiongozi wa kikundi cha kusoma lazima aelekeze mazunugmzo kwa makundi ya watu wazima na pia yawepo maswali ya nyongeza. Hata hivyo, hapaswi kujijibu mwenyewe, ajaribu kufanya vijana wajibu wenyewe.
  • Kiongozi awape vijana muda wa kutafakari majibu na ahimize kila kijana angalau ajibu swali moja.
  • Kiongozi kama ataweza, au kama atajisikia, aelezee mawazo yake na maoni ya kumaliza au awaelekeze katika sala ya mwisho.
  • Tunapendekeza makundi haya ya utafiti yawe pamoja na katika shughuli jamaa za klabu hiyo. Viongozi inaweza kuchaguliwa miongoni mwa vijana zaidi ya miaka 15.
  • Mwongozo huu utaboreshwa pamoja na maendeleo ya vikundi vya utafiti.

    ***

    Version for printing    
    Downloads    
    Contact us    
    Webmaster