GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

1. BIKIRA AZAA Luka 1:26-38


Angalizo: Haya yote yalipotendeka, Mariamu alikuwa msichana kijana, labda chini ya umri wa miaka 20. Aliposua kuolewa na Yusufu seremara. Mapenzi nje ya ndoa yalikatazwa na Agano la Kale.
1. Je Mariamu alikuwa na tabia gani? - Je unatoa hitimisho gani kutoka somo mistari hii?
 • Je Mairamu alikuwa na uhusiano wa aina gani na Mungu?
 • Fikiria maisha Mariamu ya siku kwa siku katika kijiji kidogo cha Nazareti - Je kulikuwa na furaha na huzuni wa aina gani?
  2. Kwa nini Mungu alimchagua huyu msichana mdogo kuwa mama wa mwanaye?
 • Fikiria sababu mbalimbali ambazo zilimfanya Mariamu alifanya kama alivyofanya ktokana na salamu za malaikal (29)?
  3. Je ni kwa sababau gani Mungu alimtuma Gabrieli kwa Mariamu?
 • Soma mistari ya 32-33. Mariamu alijinfunza nini juu ya mtoto ambaye mwishowe atamzaa? Sema kwa maneno yako.
  4. Mariamu alikuwa bikira. Je angeaminije tayari katika kuzaliwa na bikira wkati hakuwa na hakikishololote? (Kwa maneno mengine, kabla ya ishara yeyote ya mimba kuonekana katika mwili wake.)
 • Kwa nini watu wengi siku hizi hupata shida kabisa kuamini kuzaliwa na bikira?
  5. Katika injili ya Matayo tunaona kwamba Yusufu alikuwa na dhisa pia katika kuamini kuzaliwa na bikira. Kama Mairamu angalijua uchungu iliokuwa unmsubiri kama mama wa Yesu je unafikiri angalikubali wito huu?
  6. Gabriel alisema mara mbili kuwa Mariamu alikuwa amepta neeema kutoka kwa Mungu (28,30). Neno "neema" inamaanisha msamaha wa dhambi. Kwa nini Mariamu alihitaji wa dhambi?
  7. Labda umejisikia kuwa matatizo yako ni magumu sana hata kwa Mungu kutatua. Soma mstari wa 37 na uitumie katika matatizo yako. Mstari huu una maana gani katika hali yako ya sasa?
  8. Katika miaka thelathini na baadaye, Mariamu alisimama kando ya msalaba wa mwanae. Je alifikiri nini juu ya ahadi ya Mungu iliyoko katika msitari ya 32-33?
  9. Kama Mungu angepkupa maisha yaliyojaaa neema, na wakati huohuo maisha yaliyojaa mateso kama ya Mariamu ungemjibu nini?


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster