GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

3. ANNA NA SIMEONI Luka 2:25-38


KUMBUKA: Lija ya kwamba Mariamu na Yusufu walitoa makinda ya njiwa Hekaluni inaonyesha kwamba walikuwa masikini. Linganisha na Walawi.1¬2:7-8. Watu wengi walisubiri Masiah wakati ule, lakini wangi wao walifikiri wangalionysha nguvu na mamlaka yake kwa mtu yeyote.
1. Fikiria aliyoyapitia Anna wakati mme wake alikufa baadya ya ndoa yao ya miaka sana. (36).
 • Kwa nini Anna alitaka kuolewa, kama livyokuwa desturi siku zile- Fikiria sababu mbalimbali.
 • Je maana ya maisha ya Anna ilikuwa kwa kipindi cha miaka yake ya 50-60 kama mjane (36-37)?

  2. Unafikiri Anna alikuwa anaomba kwa ajili ya nini Hekaluni usiku na mchana mwaka hadi mwaka?
 • Je mstari wae 38 unaonyesha nini juu ya imani ya Anna? (Alitaka ukombozi kwa minajiri gani?)
  3. Ebu fikiria maisha aliyoishi Simioni hadi siku alipokutana na Yesu. Je furaha na huzini zake ilikuwa zipi (25-26)?
 • Je ahadi ya Mungu kwa Simioni ilimaanisha nini (26)?
  4. Inamaanisha nini kwa mzee kuwa na kitu cha tumainia siku za usoni?
 • Je "kusubiri" kuna maana gani na "imani"?
 • Je kuna tofauti gani katika Masihi ambaye Simoni alimsubiri and Masihi ambaye watu wengi wanamsubiri? (tazama maelezo na mstari 25.)
  5. Simioni angewezaje kumwona Kristo wa Bwana katika mtoto wa familia masikini?
 • Why didn't all the other visitors to the temple see what Anna and Simeon saw?
  6. Tazama somo hili kwa makini na jaribu kupata alama kuwa ni wokovu aina gani hawa wazee wawili waliomtazamia Masihi kuleta (25,31,32,38)?
 • Unataka nini na zaidi sana kutoka kwa Yesu?
  7. Ina umuhimu gani kwa mtu kusema kuwa yuko tayari kufa (29)?
 • Ukitumia maneno ya Simioni katika maisha yako. Unaweza kusema jinsi alivyosema katika mistari 29-30?
  8. Je kuna ujumbe gani mpya katika maneno ya Simioni yanafunua kwa Mariamu kuhusu motto wake (30-35)?
 • Je upanga uliingiaje moyo wa Mariamu? (jibu linatoka nje ya somo mstari huu.)
  9. Anna na Simioni hawakukutana na Yesu tena. NI kwa njia gani kuonana na motto Yesu kulibadilisha maisha yao? Nini kilibaki kama kilivyokuwa?
  10. Je hawa watu wawili walikuwa na wito gani hadi kifo vifo vyao?
  (
 • Katika siku zetu, watu wengi wana hamu katika karama ya unabii. Kwa nini Anna anitwa nabii wa kike? Tazana Mst.36.)

  HABARI NJEMA: Kama umemwona Yesu kupitia neon la Mungu unaweza kusema kama Simioni: "Sasa Bwana umetimiza ahadi yako na unaweza kumruhusu mtumishi wako aende kwa amani. Kwa macho yangu nimeuona wokovu wako."


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster