GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

6. SIKU YA KWANZA YA HUDUMA YA YESU Luka 4:31-37


KUMBUKA: Mwanaume aliyekuwa na roho pepo ndani yake ilikuwa kile tunaita "kupagawa". Kupagawa ni tofauti na kuwa na ugonjwa wa akili. Hii ina maana kwamba room mchafu anakaa katika myo wako kama vile Roho Mtakatifu anakaa katika moyo wa muumini. Roho mtakatifu hasa anamwingia mtu kupitia kwa kuabudu miungu,uchawi, waonaji, uponyaji wa dini za uongo, musiki aina fulani ya Musiki wa kishetani ambao ni wa viombo vya nguvu na makelele n.k. Mtu ambaye amepagawa anenda mara kwa mara katika " kifafa", analia kwa sauti isiyo ya kibinadamu na kila mara ana nguvu isiyo ya kawaida.
1. Je unaamini uwepo wa Shetani na mapepo?
 • Kama umewahi kusikia masimulizi mbalimbali juu ya kupagawa na mapepo na megine, tafhadhali tushirikishe kwa kifupi sasa hivi.
 • Kwa nini watu wengi wanaogopa giza, mapepo, roho wachafu na miungu?
  2. Fikiria maisha ya kila siku ya huyu mtu aliye pagawa - fikiria hasa juu maisha ya familia yake na mahusiano mengine.
 • Hii ilikuwa ni Sabato ya kwanza ambayo Yesu alishereheka kule Kapernaumu ambayo inamaanisha kwamba watu hawakuja sinagogi kukutana naye. Unfikiri kwa nini huyu mtu aliyepagawa na peopo mchagu alikuja huko hata kama alijua kuwa angepata "kifafa" wakati wowote?
  3. Kwa nini mapepo hulia mara kwa mara wanapofika karibu na Yesu?
 • Sema katika maneno yako yale ambayo roho mchafu alijua juu ya Yesu (34).
 • Je romor mchafu alikuwa sawa juu yay ale yote alisema juu ya Yesu au la?
  4. Kwa nini Yesu alizunmza na roho mchagu na wala si Yule mwanaume?
 • Kwa nini Yesu akujibu swali ambalo roho mchafu alimuuliza (34-35)?
  5. Kwa nini Yesu alimzadia Yule mwanaume alipagawa japo hakumwomba afanye hivyo?
 • Pengine umesikia masimulizi juu ya mtu ambaye anatoa mapepo kutoka kwa mtu. Je kuna tufauti gani jinsi Yesu alitoa roho mchafu?
  6. Ni kitu gani katika Yesu ambacho watu walishngaa? (32-36)?
 • Je maneno ya Yesu yana tofauti nay ale ya watu wengine?
 • Ni kwa shida gani au kwa ajili ya mtu gani unahitaji maneno ya nguvu ya Yesu? (jibu moyoni mwako.)

  7. Kulingana na somo hili, unaweza kusmea nini kwa mtu ambaye anaogopa giza, roho, mapepo ,sanamu, au nguvu za Shetani?
 • Je unafikiri ni kwa kiwango gani Kanisa inawazaidia wale ambao wamefungwa na roho za ulimwengu?
  8. Kwa nini Yesu alizanza huduma yake kwa tendo la namna hii?
  9. Je kuna tofauti gani kati ya mtu ambaye ameanguka katika dhambi na mtu ambaye amebegagwa na roho mchafu?
  10. (Majibu ya maswali ya mwisho yanatoka nje ya somo hili.)
 • Je Yesu alipataje mamalaka ya kuamuru roho wachafu?
 • Je htimaye Yesu anawezaje kuaribu Shetani na roho zake wachafu (34)?
 • Hata ingawa alikuwa na mamlaka ya kuharibu roho wachafu, kwa nini Yesu aliharibiwa nao msalabani?

  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster