GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

7. KUFUA SAMAKI WENGI Luka 5:1-11


KUMBUKA: Petro alikuwa na mama mkwe (4:38-39), hii ina maana kwamba alikuwa na mke na watoto. Petero alikuwa mvuvi - kama hakupata samaki asingalikuwa na njia ya kuishi. Katika ziwa la Genne¬sareti walifua usiku (si mchana) na katika yale yasiyo na kiina kuliko maji marefu.
1. Kama miongi mwenu kuna aliye fanya kazi usiku, tafadhali tuambie unsikiaje asubuhi iliyofwata?
  • Fikiria Petero alikuwa nafikiri nini alipoendelea kusafisha nyavu zake baada ya usiku wa kazi isiokuwa na mafanikioful (2)?
    2. Kwa nini Yesu alipenda kuwa katika mashua alipowafundisha watu (3)?
  • Unafiki ni kwa sababu gani Yesu alichangua mashua ya Petero kama chukua lake?
    3. Petero alikuwa amesafisha nyavu zake. Na zaidi sana alikuwa hodari katika kufua samaki, ila Yesu hakuwa. Ni nini kilimfanya kufuata maagizo ya Yesu lija ya kuwa angejiabisha mbele ya wavuvi wengine (4-5)?
  • Unafikiri nini: Je Petro aliamini kuwa angalipata samaki au hapana?
    4. Kam Yesu angalikwambia ufanye jambo fulani ambalo unafikiri haliwezekani, ungemjibu nini?
    5. Miaka michache iliyopita mashua ya kufua samaki ilipatikana katika ziwa la Gennesareti. Ilikuwa na urefu mita nane na upana wa zaidi ya mita mbili. Je ni smaki wangapi wenye uzito wa kilo moja ambao mashua mbili za namna hii wangebeba (7b)?
  • Kulifanyika nini kwa samaka hawa wote?
    6. Ni nini kinachokushangaza juu ya tamko la Petero katika muujiza huu?
  • Ni dhambi gani ambayo Petro alikuwa nayo katika mawazo yake aliposema maneno yaliyo katika mstari wa 8?
    7. Je Petro alijifuza nini juu ya utu wa Yesus kupitia kwa muujiza huu? (Tazama pia alivyo sunguza na Yesu katika mstari wa 5 na 8.)
  • Ni nini kilicho mfanya Petero kuogopa?
    8. Kwa nini Yesu alizungumza kama alivyozungumza katika mstari wa . 10 baada ya ukiri wa Petero?
  • Je wavuvi wana kitu gani sawa sawa na mtu ambaye anahubiri injili?
    9. Je Petro alikuwa na uhakika gaki kuwa familia yake wasingalihisi njaa baada ya kuwaacha ili kumfuata Yesu?
  • Je una uhakika kuwa familia yako hawatatezeka ikiwa utaamua kumfua Yesu popote atakapo kwambia uende?
    HABARI NJEMA: Simioni hakukosea alipofikiria kuwa mwenye dhambi hasinge kusogea karibu na Mungu mtakatifu. Alifahamu yale ambayo Agano la Kale lilisema: Mwenye dhambi ambaye anayesogea karibu na Mungu atakufa. Hii ndio sababu Yesu alihitaji hali ya Simioni ambayo alimfanya agope- aliachwa na Mungu alipokaribia kifo.


    ***

    Version for printing    
    Downloads    
    Contact us    
    Webmaster