GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

8. NI NANI ALIYE NA FURAHA YA KWELI? Luka 6:20-26


KUMBUKA: Neno "mbarikiwa" maana yake ni kuwa "Furaha iliyo na kifani" katika lugha ya Kiyunani. "Matajiri" katika somo hili ni wale ambao wana kila kitu ambacho wanahitaji maishani: pesa, upendo, na afya. "Masikini" inamaanisha wale watu ambao hawakuwahi kuwa na hivi vitu wala kupoteza njiani. (Tafhadhali usichukulie neno "masikini" kumaanisha "masikini wa roho", Yesu hamaanishi hayo hapa.)
1. Je furaha ya kweli katika mtu kulingana na somo hili?
 • Je ni nini hasa kutokuwa na furaha katika somo hili?
  2. Ni nini kulingana na Yesu ni hakika sehemu katika kuwa masikini? (Kwa sababu maana ya neno "masikini", tazama maelezo hapo juu.)
 • Je nini pungufu kuwa tajiri? (Tazama maelezo hapo juu.)
 • Katika vikundi hivi viwili ni kikundi gani unahesabika? (Jibu katika moyo wako.)
  3. Watu wengi sana wana njaa duniani hawana chakula. Yesu anawezaje kuwaita wana furaha?
 • Watu wengi katika jamii yetu wanatafuta upendo na kushukuriwa. Yesu anawezaje kuwaita wana furaha?
  4. Fikiria hali Fulani mbayo ilikufanya ulie. Ungesikiaje kama Yesu angalifika kukutembelea na kusema: "Unafuraha wewe mbayo unalia sasa"?
 • Fikiria mtu ambaye hajawahi kulia. Kwa nini ni vigumu kumwita mwenye furaha?
  5. Ni kwa misingi gani Yesu alitamka kuwa wanafunzi wake ambao walikuwa wanalia walikuwa na furaha?
 • Je wanfunzai wake walikuwa na furaha wakatika wanalia au baadaye wanakati watakapo cheka?
  6. Kuna ubaya gani na utajiri, kulithika, furaha na kusemwa vema?
 • Utafika lini mda wa matajiri, walivyo navyo na wanye furaha kulia?
  7. Kwa nini wanaosema ukweli wanachukiwa, na kwa nini wanazungmziwa vema, wale ambao ni manabii wa uongo? (22,26)?
 • Je unafikiri kuna watu hasa ambao wanafurahi na kusherehekea wanapotezwa na kulaumiwa (23)? Kama wapo, kwa nini nafanya namna hiyo?
  8. Wana nini wale ambao ni masikini, wasivoy navyo, kulia na watu wenye kulaumiwa wanacho kwamba matajiri n.k hawana?

  9. Kwa nini Yesu anawaita wanafunzi wake kuwa wana furaha na wala si watu wote ambao wanatezeka duniani (20)?
  10. Na tuitumie mistari hii katika maisha ya Yesu. Jadili yafwatayo: Je Yesu alifurahi aliponinginia masalabani. Kwa nini? Kwa nini sio?
 • Kwa nini Mungu akumpa Yesu faraja alipotezeka?


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster