GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

11. MJANE WA NAINI Luka 7:11-17KUMBUKA: Watu wanamwita Yesu Nabii Mkuu kwa sababu wanakumbuka jinni Elijah na Elisha wa Agano la Kale alimfufua mwana wa mjane kutoka wafu (16).
1. Fikiria sababu mbalimbali kwa nini watu wengi walitaka kuhudhuria mazishi haya (12).
2. Fikiria juu ya maisha ya huru mjane. Alikuwa na motto mmoja wakati kila mtu alitaka watoto wangi iwezekanavyo. Unafikiri ya familia hii ndogo yalikuwaje wakati baba alikuwa hai?
 • Nini ambacho labda kilikuwa kibaya kabisa kwa mwanamke huyu wakati mme wake alikufa?
  3. Je kuna shida gani za kifedha na kiakili zingeweza kutokea wakati mama analea motto wake wa pekee mwenyewe?
  4. Je huyu mama alikuwa anafikiria nini juu ya Mungu alipokuwa anatembea nyuma ya cheneza la mnae?
  5. Kipindi ambacho Yule kijana alikufa Yesu alikuwa katika mji wa Kapernaumu mji ambao ulikuwa umbali wa kilometa 40 kutoka Naini (7:1). Mazishi yalifanyika si zaidi ya siku iliyofwata. Kwa nini Yesu alitaka kufika katika mazishi yale mapema, hata kama ilimaanisha kutembea kwa haraka katika umbali mrefu?
 • Kwa nini Yesu alitaka kumzaidia mjane huyu hata kama hakuomba msaada wake?
  6. Ni katika hali gani ambayo umejisikia kuwa msaada wa Mungu husingaliweza kukufikia mapema?
  *Tunawezaje kuwa na uhakika kuwa msaada wa Yesu hauchelewi?
  7. Kwa nini Yesu alimwambia yule mama mwenye kulia: "Usilie!"?
 • Yesu anakwambia wewe pia: "Usilie!" Je anamaanisha nini kusema hivyo?
  8. Je Yesu alimfufuaje Yule kijan kutoka kwa wafu?
  9. Luka anamaanisha nini anaposema: "Yesu akampa mama yake" (15)?
 • Je unafikira tukio hili lilibadilishaje uhusiano katika ya mama na kijana wake?
  10. Baba wa mbinguni pia alimwona mwanae wa pekee akibebwa kwweleka kaburini. Je unafikiria uchungu wake ulikuwa mkubwa kuliko ule ule yule mjane?
 • Katika mstari wa 16 unasema: "Mungu amewaangalia watu wake." Kwa nini hakumzaidia mwanae alipokuwa anakufa?  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster