GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

13. MFANO WA MPANDAJI Luka 8:4-15


KUMBUKA KWAMBA: Mfano wa mpandaji ulikuwa ni mfano wa kwanza wa Yesu, ni ajenda yake ya miaka mitatu ya huduma yaake ya hadhara.
1. Kwa nini Yesu alilinganisha neon la Mungu na mbnegu? tafuta mfanano uwezavyo.
 • Je Yesu alitaka kusema nini juu ya ujio wa huduma yake kupitia kwa mfano huu?
  2. Ni kwa njia gani tabithi ibilisi anaweza kuchukua neon la Mungu kutoma mioyo yetu (5,12)?
 • Je tunawezaje kuzuia kitu hicho ambacho kimezungumziwa katika msatari wa 12 kutotendeka kwetu?
  3. Tazama mstari wa 6 na 13. Ni jaribu aina gani linaweza kusababisha mtu kuanguka kutoka imani ya Kikristo?
 • Je watu hawa katika mstari wa 13 walifurahi juu ya nini kwanza?
 • Je Yesus anamaanisha nini kwa Mksriato ambaye hana "mizizi"?
  4. Je "mahangahiko ya maisha, utajiri na anasa" yanawezaje kusonga neno la Mungu katika maisha yetus (7,14)?
 • Kwa nini utajiri ni shida kubwa kwa Mkristo kuliko umasikini?
 • Tunaweza kufanya nini tukigundua kuwa mahangahiko, utajiri and anasa vinaweza pole pole vinaweza kututenganisha na neon la Mungu?
  5. Je udongo mbya unawezaje kuwa udongo mzuri (8,15)?
 • Ni katika hali gani ambayo maisha ya mwanadamu yanaweza kuzaa matunda?
  6. Ni udongo gani kati ya hizo nne ambayo unafaa hasa hali ya moyo wako kwa sasa? (Jibu katika moyo wako.)
  7. Je Yesu anamaanisha nini kwa kuzaa moja kwa mia kwa mimea (8)?
 • Kwa nini Wakristo wengi siku hizi hutarajia "Mimea" katika maisha yao kukua ghafula?
  8. Mfano huu unatufundisha nini juu ya uinjilisti?
 • Je somo hili ninafundisha nini juua ya " nuvu ya uinjilisti"? (Kama hujui neon hili unaweza kuruka swali hili.)
  9. Katika Biblia, Yesu ni sawa na neon la Mungu In the Bible, Jesus is equal to the Word of God (Kiongozi anaweza kusoma Yohana 1:1). Kuna kufanana gani kati ya Yesu na mbegu?
  HABARI NJEMA: Yesu aliwambiwa wanafunzi wake usiku wa mwisho hapa duniani: Naye Yesu akawajibu, akasema, Saa imefika atukuzwe Mwana wa Adamu. 24Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi. 25Yeye aipendaye nafsi yake ataiangamiza; naye aichukiaye nafsi yake katika ulimwengu huu ataisalimisha hata uzima wa milele. 26Mtu akinitumikia, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu. Sasa roho yangu imefadhaika; nami nisemeje? Baba, uniokoe katika saa hii? Lakini ni kwa ajili ya hayo nilivyoifikia saa hii. 28Baba, ulitukuze jina lako. Basi ikaja sauti kutoka mbinguni, Nimelitukuza, nami nitalitukuza tena. 29Basi mkutano uliosimama karibu wakasikia, walisema ya kwamba kumekuwa ngurumo; wengine walisema, Malaika amesema naye. 30Yesu akajibu, akasema, Sauti hiyo haikuwako kwa ajili yangu, bali kwa ajili yenu. 31Sasa hukumu ya ulimwengu huu ipo; sasa mkuu wa ulimwengu huu atatupwa nje. 32Nami nikiinuliwa juu ya nchi, nitawavuta wote kwangu. 33Aliyanena hayo akionyesha ni mauti gani atakayokufa." (Yohana 12:23-33). Vivyo hivyo, mbegu katika mfano huu si kitu kingine ila neon la msalaba.  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster