GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

14. NITAKUFUATA Luka 9:57-62


1. Kuna watu watatu katika somo hili ambao wanahesabu gharama ya kumfuata Yesu. Ni katika hali gani umefanya vile vile?
2. Ni kwa nini Yesu hkumwambia mtu wa kwanza: "karibu katika kikundi changu!" (57-58)?
 • Je Yesu alitaka kusema nini kwa huyu mtu aliyekuwa na jibu katika mst 58?
  3. Ungefanya nini kama kitu cha kipekee ambacho Yesu alikuahidi ni maisha yanayoonyeshwa katika mstarari wa 58?
 • Kwa Yesu alihitajika kushi maisha ambayo yanaoneshwa katika mstari wa 58 japo alikuwa mwana wa Mungu ?
  4. Je mtu wa pili alikuwa na litoa lipi kipaombele (59-60)?
 • Ebu linganisha na alilolipa kipao mbele na lile la kwako.
 • Ni nini ambacho ungependa watoto wachagu watoe kibao mbele katika hali kama hii?
  5. Je kifo cha mtu mmoja katika familia yetu kinawezaje kutufunga kwamba tunafikiri kuwa hatuwezi kumfuata Yesu?
  6. Sababu ilikuwa nini hasa iliyosababisha mtu wa tatu kutembelea nyumbani kwake mra moja tena (61-62)?
 • Kwa nini Yesu hakutaka kumkubalia faraja hii ndogo?
  7. Je unafirikiria maisha ya hawa watu watatu yangekuwaje kama ingalitokea kuwa waliamua kubaki nyuma? Na kama wangechagua kuutangaza ufalme wa Mungu?
  8. Katika tamaduni nyingi, pamoja na zile za siku za Yesu, mtu kuonyesha heshima kwa wazazi wake ni kitu cha maana kwa motto wa kiume kufanya. Kwa nini Yesu hapa anaenda kinyume na utamaduni wake?
 • Yesu pia alifundisha umuhimu wa mtu kuwaheshimu baba na mama yake.Jesus also taught the importance of honoring one's father and mother. Je tunawezaje kuanisha somo hili na amri hii?
  9. Je unafikiri kuwa vijana katika Makanisa yetu wanaonywa juu ya shida ya kumfuata Yesu akam vile Yesu aliwaonya hawa watatu?
  10. Utafanya nini kama utagundua kuwa hufai kutumika katika ufalme wa Mungu?

  HABARI NJEMA: Yesu alikuwa njiani kwenda Yerusalemu alipokuwa anaongea haya. Hakuangalia nyumba baada ya kuweka mkono wake katika kulima, lakini akatembea imara kuelea mateso na kifo. Alifaa ufalm wa Mungu-pengine ni yeye pekee ambaye aliwahi kufaa.. Alifaa si kwa ajili yake mwenyewe bali kwa ajili yetu.


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster