GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

16. MSAMARIA MWEMA Luka 10:25-37


KUMBUKA: Wayahudi katika wakati wa Yesu walichukia Wasamaria kwa kuwa walikuwa na damu iliyochanganywa na nusu wapagani. Wasamaria walikuwa na hekalu lao katika mlima wa .Gerizim, yapata umbali wa kilometa 50 kaskazini mwa Yerusalemu. Walitumia Mwanzo- Kumbukumbu la Torati (Vitabu vitano vya Musa) kama Biblia yao. Mtu huyu aliyejeruhiswa inawezekana alikuwa Myahudi. Kuhani na Mlawi pengine walikuwa wanaelekea hakaluni ili kuwa kutunza huduma za za kidini kule. Kama awangeguza damu wangekuwa wachafu siku nzima na hawakukubaliwa kuingia hakaluni.
1.Ebu fikiria huyu mtu aliyejeruhiwa alikuwa na mawazo gani katika kichwa chake saa baada ya saa akiwa amelala kando ya bara bara.
 • Fikiria juu ya hisia za mke na watoto wakati baba alikosa kurudi nyumbani baada ya safari yake.
  2. Kwa nini hawa watumisho wawili Kuhani na Mlawi hakuweza kuzaidia hutu mtu aliyekuwa mahututi wa kidini? Fikiria sababu nyingi uwezavyo.
 • Je wataalamu wa sheria alifafanunuaje tabia za Kuhani na Mlawi katika mfano huu (25-27)?
  3. Je Makuhani na Walawi walitafsirje amri ya Upendo, ambayo walifahamau fema kutoka Biblia zao? (Tazama mst vs. 27.)
 • Kulingana na maoni yako je inawezekana kumpenda Mungu kwa moyo wako wote, moyo, nguvu na mara hiyo kumtenda mtu ambaye anatezeka jinsi hawa viongozi wa dini walivyofanya? Toa sababu.
  4. Msamaria alikuwa sababu nyingi kutokuzaidia aliyejeruhiwa. Fikiria sababu nyingi uwezavyo.
 • Je ni msaada kiasi gani mtu mwema anaweza kuzaidia katika hali hii?
 • Je ni "msaada gani zaidi" Je Msamaria alitoa kwa aliyejeruhiswa?
  5. Dinari mbili ni sawa sawa na mshahara wa siku mbili, ambayo inaweza kutosha kumweka mtu hadi miezi miwili katika nyumba ya wageni. Je kiasi hicho kinaweza kuwa kiasi gani katika hela yetu?
 • Kwa nini msamarai alilipa kiasi hicho kuzaidia mgeni ambaye hakuwa hata hakuwa mwanchi mwenzake?
 • Je ni nani unaweza kuwa tayari kufanya chochote kama vile huru Msamaria alimfanyia huyu mgeni?
  6. Je unafikiri Msamaria alitunza Amri ya kwanza ya Upendo (27)? Toa sababu zako.
  7. Jirani yako ni nani ambaye pengine hajamjali kama vile Kuhani na Mlawi hawakujali mtu aliyejeruhiwa (37)?
 • Ni hatua gani dhbithi ungechukua kumzaidia jiarani?
  8. Kuna kufanana gani kati ya Yesu na Msamaria Mwema?
 • Je Yesu alifanya nini kwa adui zake kuliko Msamaria?
 • Je Yesu ametufanyia nini sisi ambao tumejisikia kuwa tumejeruhiwa katika moyo na nafsia?
  (9. Jadiri mifano halisi kwa mfano kwa nini Wakristo wengi Ulaya hawakufanya chochote kuwazaidia Wayahudi ambao walijeruhiwa katika vita vya pili vya dunia. Tafuta mfano kutoka historia ya Nchi/Kanisa lako: Utumwa, buraku-mondai n.k)
   

  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster