GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

19. TAJIRI MPUMBAVU Luka 12:13-21


1. Unafikiri ni kwa nini kuna kugombana juu ya urithi kumekuwa kitu cha kawaida hata katika familia nzuri?
 • Kuna tofauti gani kati ya huyu mtu katika mstari wa 13 na watu wengine katika injili ambao walimwomba Yesu awazaidie?
  2. Shida ya huyu mwanaume katika mstari wa 13 ilikuwa nini hasa?
 • Kungetokea nini kama Yesu angalifanya kama huyu mtu alivyomwomba?
  3. Tazama sasa mfano katika mstari was 16-20. Fikiria maisha ambayo huyu tajiri alikuwa ameishi. Je yalikuwa maisha ya furaha au sio? Toa sababu zako
 • Je ungependa watoto wako waishi maisha ambayo shida ambayo wangekuwa imetajwa katika mstari wa 17?
  4. Kwa nini Mungu anatoa jua na mvua kwa mashamba ya mtu ambaye hajawahi kumshurkuru hata mara moja kwavyo?
 • Je dini (mungu) ya huyu mtu tajiri ilikuwa nini?
  5. Je tunajifunza nini juu ya uhusiano wa kibinadamu wa huyu mtu tajiri?
 • Je kosa nini kosa kubwa la huyu mtu?
  6. Tumia mfano huu katika nchi tajiri na masikini. Ni dhambi gani zetu ambazo Yesu anamulika kupitia kwa mfano huu?
 • Je unahitaji kutumia vipi pesa na mali uliyo nayo?
  7. Kwa nini huyu mtu tajiri hakutambua kuwa angekufa kabla hajachelewa?
 • Ni katika hali gani unafikiri juu ya kifo chako na hukumu inayokuja?
  8. Je mstari wa 21 una maanisha nini? (Je huyu mtu tajiri angewekaje hazina yake mbiguni? Je kuwa tajiri mbele za Mungu kuna inamaana gani ?)
  9. Linganisha tajiri mpumbavu na Yesu - kuna tofauti zipi ?
 • Kwa Mungu alihitisha uhai wa Yesu, vile anavyo udai kutoka mtu tajiri (20)?
 • Ni nani alifaidi kutokana nayale Yesu alipokea akiwa duniani (20b)?


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster