GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

20. MWAMINIFU NA SIYE MWAMINIFU Luka 12:35-48


KUMBUKA: Neno "Mtumishi" pia inamaanisha "mtumwa".
Mistari ya 35-40
1. Mtumishi anahitaji kufanya nini aweze kuwa macho usiku wote?
 • Ni nini kitatendeka kama mtumishi akilala kabla bwana wake hajarudi?
  2. Je unafikiri ni raisi kusubiri kwa kurudi kwa kurudi kwa Yesu mara ya pili? Kwa nini au kwa nini sio?
 • Kwa nini kurudi kwake Yesu kumefananishwa na mwizi anayevunja na kuingia katika nyumba?
  3. Ni nini ambacho Yesu anakuhadharisha dhidi yake katika mistari ya (35-40)?
 • Unawezaje katika katika utendeji, kumfungulia Yesu mlango leo?

  Mistari ya 41-46
  4. Linganisha hawa watumishi wawili katika mistari hii, mwema na mbaya. Kuna tofauti zipi?
 • NI nini kunacho wafanya hawa mawakili wawili kutenda njia tofauti?
  5. Linganisha uhusiano wa hawa mawakili wawili na bwana wao? Ni nini kinacho tofautiano kati yao?
 • Je hali yetu juu ya kurudi kwake Yesu ina hadhirije huduma yetu katika huduma katika ufalme wa Mungu?
  6. Ni mambo gani ambayo Yesu alikabidhi kwa "mawakili" wa kanisa lake hadi atakaporudi?
 • Ni huduma gani ambayo Yesu amekukabidhi wewe ninafsi?
  7. Ni wapi tunawakuta hawa "mawakili" wa Kanisa ambao wanawapiga watumishi wenzao, kula na kulewa?
 • Ni adhabu gani inayowasubiri hawa "mawakili"?

  Mistari ya 47-48
  8. Ni kosa la nani kwamba kuna watu katika dini ya Kikristo ambao hawajui mapenzi ya bwana wako?
 • Ni kwa kipimo gani ambacho watumishi wa Mungu watahukumiwa mwishowe?

  Muhtasari:
  9. Ni linin a ni wapi Yesu anajifunga ili tutumikia and kuja kutusubiri (37b)?
  10. Kwa nini Yesu alihitaji kuzoea hatima ya mtumishi asiye mwaminifu: Aliwekwa katika mahali pa wasio amini na kuongea, kukata vipande vipade (46b)?


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster