GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

23. MLANGO ULIO MWEMBAMBA Luka 13:22-30


1. Je unafikiri ni kwa nini mtu Fulani angependa kujua jibu la Swahili hili raisi lililo katika mstari wa.23?
 • Kwa nini Yesu hakujibu swali hili kwa njia rahisi tu, ndio au hapana?
  2. Ni kwa njia gani mlango wa mbinguni ni mwembamba?
 • Ni kwa watu wa aigna gani mlango wa ufalem wa mbinguni ni mwembaba hasa?
  3. Ni kwa njia gani watu wanajitahidi kuingia katika mlango mwembamba (24)?
  4. Kufuatana na haya Yesu anasimulia mfano mdogo kuhusu karamu katika ufalme wa Mungu (25-27). Je Yesu anataka kusema nini kwa wasikilizaji wake kupitia kwa mfano?
  5. Kwa nini watu katika mfano huu hawakuweza kupitia mlango mwembamba wakati walikuwa na wakati?
 • Je mfano huu unahusianaje na swali katika mstari wa vs.23?
  6 Je Yesu ana maanisha nini anaposema kuwa hawajui watu ambao walikula na kunywa pamoja naye ambao pia walisikia mafundisho yake?
 • Je tunawezaje kujua kuwa Yesu atatufahamu siku ya mwisho?
  7. Mababu wa imani ambao wanatajwa katika msatari wa 28 walikuwa na madhaifu yao na dhambi. NI nini kilichowawezesha kuingia kupitia mralango mwembamba kuingia katika ufalme wa Mungu? (Jadili lingana nay ale ambayo unakumbuka juu mababu wa imani- usijaribu kusoma haya sasa.)
 • Ni nani wengine ambao watafika katika karamu ya ufalme wa Mungu (29)?
  8. (Kiongozi asome Yohana 10:9.) Je ufalme mwafundisho ya Yesu kuhusu mlango wa mbinguni yanatofautianaje katika sehemu hizi zingine mbili?
 • Kwa nini mlango mmoja ni mwembamaba na mwingi ni wazi kwa mtu yeyote?
  HABARI NJEMA: Ni vigumu kwa mwenye dhambi kuokolewa kupitia kwa malango wa sheria sawa sawa na vile ngamia kupitia katika tundu la sindano (Mathayo.19:24). Ni Yes utu ambaye aliweza kupitia mlango wa sheria. Mlango wa njili ni wazi kwa kila mtu kwa sababu ni mlango ambao dhambi husamahewa.  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster