GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

25. Kondoo Aliyepotea Luka 15:1-7


1. Fikiria sababu zingine kwa nini watosha ushuru na wenye dhambi wengine walipotea mbali zaidi ya kufikia sauti ya Mungu (1).
 • Kwa nini kila mara tunapoea mbali bila kufikia sauti ya Mungu?
  2. Je kondo aliyepotea anaweza kufanyi nini ili kujizaidia ili apatikane- na je nini mbacho hawezi kufanya?
 • Je mwenye dhambi anaweza kufanya nini ili Yesus aweze kumpata - na nini ambacho hawezi kufanya?
 • Ni faraja gani ambayo ipo katika mfano hu kuhusu watu ambao unawasikitia?
  3. Yesu ana fananisha kupatikana kwa kondo na toba. (7). Toba ni nini basi kulingana na mfano huu? (singatia somo!)
  4. Je unfaikifi ni wapi tunaweza kupata hawa "watu waheshimiwa ambao hawahitaji toba" (7)?
 • Kuna mstari katika kitabu cha Isaya ambacho Mafarisayo walisoma mara nyingi: " Sisi sote kama kondoo tumepotea;Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na BWANA ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote." (Isaya.53:6). Mara nyingine: 99 ni akina nani?
  5. Ni dhambi gani ambazo Wayahudi walihitaji kutubu (2)?
 • Kwa nini Wafarisayo hawakutambua kuwa walikuwa wapotevu?
 • Je wewe unafikiri uko katika kundi gani: waliopotea au waliopatika?
  6.Katika mifano ya Yesu, karamu humaanisha uzima wa milele mbinguni. Kwa nini sherehe ni kwa ajili ya kondoo ambayo ilipotea na si jumuisha kondoo wengine 99 (6)?
  7.Inamaanisha nini kuwa hakuna yetote anayeweza kufika mbingunikwa maguu yake miwili (5)?
  8. Je tunweza kumkuta Yesu ambaye anawakaribisha wenye dhambi na hata kula nao (2)?
  HABARI NJEMA: Yohana mpatizaji alimfananisha Yesu na Kondoo. Alfanyika mwanakodnoo wa Mungu achukuaye dhambi ya ulimwengu (Yohana 1:29). Yesu akam kondo hakuokolewa kutoka jangwani- badala yake, aliuawa kule. Hkubebwa nyumbani, lakini alipewa kubeba dhambi zetu zote.


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster