GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

35. PETRO ALIMKANA BWANA WAKE Luka 22:31-33 na 54-62


KUMBUKA: Kiongozi asome Mathayo 10:32-33 ili kila mmoja aweze kuelewa kuwa ni dhambi mbaya kiasi gani kukataa kwamba humjui Yesu mbele ya watu.
1. Kam mtu anayekupenda atatabili kwamba utajitenga naye siku Fulani, je utafanya nini?
 • Kwa nini Petero hakuweza kuamini utabiri wa Yesu katika mstari wa 34?
  2. Kwa nini Petro si kama wanfunzi wengine alimfuata Yeu hadi kule barza la kuhani mkuu?
  3. Je Petero aliogopa nini alipomkana Yesu mara tatu?
 • Ungalifanya nini kama ungalikuwa katika mahali pa Petero?
 • Ni katika hali gani unafikiri ulijaribu kukana Imani yako ya Kikristo?
  4. Katika msatari wa.61 maneno ya Yeus ya kumhaga Petro yanasemwa. Je unafikiri Yesu alitaka kusema nini kwa wanafunzi wake walioanguka kwa mtazamo wa mwisho?
 • Ni nini kilichomfanya mtu mzaima kuslia sana (62)?
  5. What did Peter think at this point about the conversation he had had with Jesus earlier on the day (31-34)?
 • Je unafikiri ilimaanisha nini kwa Petro kufhamu kwamba Yeus alikuwa anamwombea?
  6. Mapema, Petero alikataa kabisa kabisa walo la Yesu kuawa. Je alisoma nini kutoka na tukio hili kwa nini Yesu alihitaji kufa?
  7. Jambo hili lilimfanyaje Petro kuna na uwezo wa kuwafariji ndugu zake?
 • Je kunaguka kwetu katika dhambi kunawezaje kutufanya tuimalishe ndugu zna dada zetu?
  8. Yesu anakuangali wkati huu jinsi alivyomwangalia Petro baada ya anguko lake. Je macho yake yanasema nini kwako?
  HABARI NJEMA: Petro alimkana Bwana na mkubwa wake, lakini alisamehewa. Badala yake, Yesu aliweza kukutana na kukanwa na baba yake akiwa anachukua adhabu ya hofu yatu mslabani.


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster