GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

36. MILANGO YA PARADISO UMEFUNGULIWA Luka 23:32-43


KUMBUKA: Wakati wa Yeus watu walisulubishwa kwa makossa makubwa tu. Tunaweza kusema wale wezi walisulubiwa kwa sababu ya pesa au walifanya makossa makubwa sana.
1. Ni nini ambacho kiliwafanya hawa wanaume wawili waanze kuiba na kupigana n.k? Fikiria sababu mbalimbali.
 • Hawa wanaume wawili walikuwa na mama zao nap engine wake zao pia. Ebu fikiria maisha ya kila siku ya hao wanawake wawili.
 • Kwa nini wezi hao hakuacha wizi kabla ya kufikia hapo walipo?
 • Why don't we always stop the behaviour we know is harmful to ourselves and to others?
  2. Hawa wawili waliona kusulubiwa kwa Yeu kwa karibu sana kuliko mtu yeyote. Ni nini katika maneno na matendo ya Yesu ilifanya usawishi mkubwa kwa mmoja wao (34-38)?
 • Hawa wawili waliishi katika dunia ya chuki na kizazi. Je walikifiria nini juu ya maombi ya Yesus katika mst.34?
  3. Ni nini kilichomfanya mmojawapo wa wanyanganyi kutambua dhambi zake?
 • Nini ambacho kinatufanya kutambua dhambi zetu badala ya kuzitetea?
  4. Ni nini kilicho mfanya mmoja wa wezi kutambua kwamba Yesu alikuwa mfalme (37,38,42)?
 • Yesu alikuwa mfalme gani mda ule, ukilinganisha na wafalme wengine?
  5. Kwa nini yule mwizi mwingine hakuamini kuwa Yesu alikuwa Kristo au mfalme?
 • Kwa nini kutambua dhmabi kunazidi Imani ya kweli?
  6. Katika mstari wa.42 tunapata ombi fupi: "Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako." Kwa nini huyu mwizi hakumwomba Mungu kumruhusu kuingia katika ufalme ule?
 • Kwa nini ni faraja kufahamu kuwa kuna mpendwa wetu anatukumbuka tunapotezeka?
 • Kwa nini huyu mwizi alitaka Yesu amkubuke, muuaji wakati angetezeka jehanamu?
 • Ni katika hali gani unafikiri wewe mwenyewe ukiomba ombi hilo?
  7. Mwizi huyu aliokolewa lini?
 • Ni nini kilitendeka na dhambi za mtu huyu?
  8. Msiaha ya Mkristo yalikuwa mafupi kulingana na mwizi huyu, yaa masaa sita tu. Je unafikiri alikuwa na furaha au hakuwa katika masaa ya mwisho?
 • Je unafikiri huyu mtu alimchukia mtu fulani katika mda wake wa kufa?
 • Kibinadamu huyu mwizi aliharibu maisha yake. Na bado maisha yake yaliyakikisha kuwa muhimu?
  HABARI NJEMA: Milango ya Paradiso ilifungwa tangu siku za Adamu na Hawa. Sasa malango ulifunguliwa kwa muuaji. Mda huo huo mlango ulifungwa kwa Yesu, ambaye alihitajika kuingia katika milango ya Jehanamu.
   

  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster