GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

38. KWA MATAIFA YOTE Luka 24:44-53


1. Kulinagana na Yesu, ni ujumbe gani wanfunzi wake wanahitaji kuhubiri na watahubiri wapi?
 • Kwa nini Yesu aliwapa huduma hii kwa wanaume kumi na moja ambao hawakuwa na elimu?
  2. Ni mabo gani ambayo yalifungua mawazo ya wanafunzi kuelewa Agano la Kale?
 • Ni nini kitafanyaki kwetu ili tuweze kuelewa Agano la Kale?
  3. Yesu anawaita wanafunzi wake mashahidi (48). Je wanshuhudia nini?
 • Tunahitaji kushuhudia nini na kwa nani?
  4. Neno "Shahidi" inaweza kutafsiriwa kuwa "mfia dini". Ni nini kiliwafanya wanfunzi kuwa tayari kufa kwa ajili ya injili?
  5. Yesu anawahidi wanfunzi wake nguvu kutoka juu. Kwa nini nguvu hii ni sharti kwa wanafunzi wa Yesu?
 • Je unafikiri unapeta nguvu kutoka juu na kama ni ndio kwa njia ipi?
  6. Paulo mmisionari mkuu, anaelezea nguvu hii kutoka juu akma igwtavyo: (Kiongozi asome Warumi 1:16 na 2.Wakorintho 12:9-10.) Jadili: nguvu ya Mungu ainatofautianaje na maana ya kawadia ya neon "nguvu"?
  7. Kulingana na somo hili, je kuna masharti gani ya kuwa mmisionari?
  8. Kwa nini Yesu hakuishi katika hali yake ya kimwili hapa duniani?
 • Je kupaa kulitokeaje?
 • Ni nini kiliwafanya wanfuzi kuwa na kuwa na furaha hata ingawa Bwana wao alitolewa kwao?
  9. Jadili: Je ilikuwa ni raisi kwa wanfunzi kuweza kuwasiliana na Yesu baadaya ya kupaa, kama vile ilikuwakuwa akiwa bado duniani?
 • Je unatambua mara kwa mara kuwa Yesu yu karibu nawe kam rafiki asiyeonekana?
  HABARI NJEMA: Juu yay ale Yesu anafanya mbinguni sasa soma. Waebrania 7:25.


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster