GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

MANENO MATUPU 12:33-37


Historia: Kabla ya majadiliano,jikumbushe niaina gani ya maneno uliyoyaongelea wiki iliyopita.
1.Ni wakati gani mgumu sana kuuzuia ulimi wako kunena mabaya?
 • Kama unaweza kuishi maisha yako kwa mara nyingine tena,utaongea na nani vizuri zaidi ya ulivyofanya hapo awali? (Unaweza kujibu kimoyomoyo)
  2.Kwa nini maneno yetu ni muhimu kwa Mungu zaidi ya matendo yetu?
 • Heshima yamaneno yetu inafananje na matunda ya mti(33)?
 • Inawezekanaje mti mbaya kubadilika kuwa mti mzuri?
 • Inawezekanaje mtu mbaya kuwa mtu mwema?
  3.Yesu anatumia mifano imara wakati akitoa wito kwa wamuelewao kizazi cha nyoka .Je nyoka mwenye sumu ana nini cha ziada na mtu anayezungumza maneno mabaya (34)?
 • Yesu alimaanisha nini kwa maneno haya " Yaujazayo moyo kinywa husema(34)?
 • Tumia majaribu katika mstari wa 34 kwako mwenyewe.Moyo wako umejawa na nini? (Unaweza kujibu kimoyomoyo)
  4.Katika mstari wa 35 Yesu ameonesha ya kwamba kila mtu ana ghala kwenye moyoni mwake.Ni kwa
  mambo gani mambo hujaza maghala ya mioyo yao?
 • Fikiria unazungumza nini kuhusu Yesu. Maneno yako yanaonesha nini uhusiano uliopo kati yako na Mungu?
  5. "Maneno ya kutojali" yana maana gani (36)?
 • Kinyume cha "maneno ya kutojali" ni nini?
 • Kwanini tunatakiwa kutoa hesabu siku ya hukumu kwa kila maneno ya kutojali dhidi ya kila maneno mabaya?
 • Kutokana na kifungu hiki,unafikiria kitakutokea ninisiku ya hukumu?
  6.Je unafikiria unaweza kuficha yaliyo moyoni mwako kwa wengine? Inawezekana kwa mfano kuongea maneno matamu wakati moyo wako una chuki na machungu?
 • Je,unafikiriaje kuhusu mtu anajaribu kuongea maneno machache sana ili asitamke maneno yoyote ya kutojali?
  7.Unadhani ya kwamba utakuwa unafuata mafundisho haya ya Yesu kuanzia sasa?
  8.Yesu alisema yeye ni mzabibu na wanafunzi wake ni matawi(Yohana 15:11) Je tutawezaje kuzaa matunda mema wakati tumehifadhi mabaya mioyoni mwetu?
  HABARI NJEMA: Moyo wa Yesu umehifadhi mambo mema na bado alihukumiwa kama kafiri kutokana na maneno yake.Msalaba wake ulikuwa wa mti unaozaa matunda machungu .













  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster