GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

NDOA, TALAKA NA UOAJI TENA 19:1-12


1. TALAKA 1-9
 • Kwa nini Mafarisayo wamejawa maswali ya talaka (3)
 • Je, watu kwa wakati huu wanafikiria nini kuhusu talaka?
 • Kulingana na Yesu, ni nini kinatokea watu wawili wakioana (4-5a)?
 • Kiongozi anapaswa kusoma Kumb.24: 1. Nini hasa amri ya Musa na aliruhusu nini katika kifungu hiki? Linganisha maneno yake pamoja na tafsiri ya Mafarisayo (7).
 • Kulingana na Yesu, ni nini hoja ya maisha ya ndoa ya muda mrefu (4,5,6,8,9).
 • Kwa nini unafikiri kutokuwa mwaminifu katika ndoa ni sababu pekee anayoikubali Yesu talaka (9)?
 • Nini kitatokea katika jamii endapo talaka kitu cha kawaida au zaidi ya kawaida?
  2. KUOA TENA 9-10
 • Linganisha mistari 8-9 Mat.5: 32. Yesu anafundisha nini kuhusu kuoa tena wakati mke mtalaka bado yupo? Jikite kwenye maandishi!
 • Kiongozi anapaswa kusoma 1 Kor.7: 10-11 na Rum 7: 2-3. Je, Paulo alifundisha nini kuhusu kuoa tena wakati mtalaka anaishi?
 • Kwa nini wanafunzi waliguswa kama walivyofanya kwa mafundisho ya Yesu (10)?
 • Kwa nini unafikiri mafundisho ya Yesu na Paulo kuhusu kuoa tena ni ni kitendo cha kukandamiza hata ndani ya makanisa ya kikristo ya siku hizi?
  3. UPWEKE 11-12
 • Ina maana gani ya kwamba mtu amezaliwa kama "towashi"?
 • Katika njia zipi watu wengine kufanya mtu asiweze kuoa?
 • Ina maana gani kivitendo mtu kujinyima ndoa kwa sababu ya ufalme wa mbinguni?


  4. MUHTASARI
 • Je, unafikiri kwamba mtu anaweza kuishi maisha mema bila kutimiza ngono? Toa sababu.
 • Kulingana na Yesu, ni kitu gani muhimu zaidi kwa Mkristo zaidi ya kujifurahisha binafsi?
 • Yesu alikuwa na wasiwasi juu ya wakati wa kufanya sheria hizo kali za mahusiano kwa na jinsia nyingine?
 • Je mtu ambaye hajatimiza amri,Yesu anaagiza afanye nini kwa maelekezo yaliyomo katika kifungu hiki?
 • Je, unafikiri kitatokea nini kwa mtazamo wa kibiblia kama mtu anakanusha uhalali wa mafundisho ya Yesu katika kifungu hiki?
  HABARI NJEMA: Kiongozi anatakiwa kusoma Yohana 8: 4-11  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster