GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

NI NANI AMBAYE NI MNAFIKI? 23:1-12


Historia: Wakati Yesu anakosolewa hadharani Mafarisayo na walimu wa Sheria ilikuwa ni kashfa kubwa kama ilivyo katika siku za leo kuwaita viongozi maarufu wa dini wanafiki kwenye TV. "Akiwa ameketi katika kiti cha Musa" inmaanisha kuwa na sifa za kustahili kufundisha sheria ya Musa, Hiyo ni katika Agano la kale (2).
1. Wakati wa Yesu anafiki walikuwa na tabia gani (2-7)?
 • Sema katika sentensi moja Yesu alikuwa na kitu gani dhidi ya Mafarisayo pamoja na walimu wa sheria.
  2.Tabia ya mnafiki katika wakati wa sasa ni ipi?
 • Katika wakati wa leo tutakutanaje na Mafarisayo?
 • Ni aina gani ya mafundisho inaongezeka kwa idadi ya Mafarisayo katika ushirika wa Kikristo?
  3. Ni kwa viwango gani Mafarisayo wa Yesu kwa wakati uliwalianisha watu?
 • Ni kwa viwango gani wanafiki wa siku za leo unaainisha watu?
  4.Kwanini watu huthamanisha viwango vya vyeo na shahada ? (7-10)?
 • Kuna umuhimu gani kusema digrii na vyeo viko katika ushirika wa Kikristo?
 • Kulingana na Yesu, ni nni kibaya kuhusu vyeo na shahada?
  5. Kwa nini wakati mwingine ni vigumu hata kwa Wakristo kuwa watumishi wa wengine (11)?
 • Kuna tofauti gani kati ya kuwa mtumishi (kwa maana jinsi Yesu alivyotumia neno katika mstari wa 11), na kuwa na udhalili?
 • Elezea kiongozi wa Kikristo ambaye anatumia mstari wa 11 umakini.
  6. Je mstari wa 12 maana katika kivitendo?
 • Elezea uzoefu ulio nao kwa jinsi mstari wa 12 ulivyokuwa kweli katika maisha yako.
  7. Yesu alikuwa na heshima gani tofauti viongozi wengine wa dini wa wakati wake?
 • Kwa nini Yesu milele hakudai heshima na cheo kwa ajili yake mwenyewe, ingawa alistahili zaidi kuliko mtu mwingine katika dunia nzima?
  8. Ni mafundisho gani katika kifungu hiki ni muhimu zaidi kwako binafsi? Vipi kuhusu kwa ushirika wenu wa Kikristo?
  HABARI NJEMA: Yesu kamwe hakubebesha mizigo mizito kwa wengine. Kwa kinyume - yeye alichukua dhambi za wanadamu wote juu ya mabega yake msalabani.
  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster