GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

WANAWALI KUMI 25:1-13


Historia: Maana ya "mafuta" katika mfano huu imefasiriwa kwa njia tatu tofauti: A) Ina maana Roho Mtakatifu. B) Ina maana imani katika Yesu. C) Ina maana Biblia. Bwana harusi inahusu Yesu na uwakilishi wa harusi mbinguni, ambayo ilitanguliwa na kuja kwake marna ujio wake wa mara ya pili.
1. Unafikiria " Mkristo mwaminifu" anakuwaje?
2. MFANO
 • Kazi ya wasichana hawa katika harusi ilikuwa ni kwa ajili ya kuonesha mwanga kwa bwana harusi. Hakukuwa na lindo bado, ucheleweshwaji ulikuwa ni utawala badala ya ubaguzi. Kwa nini unafikiri wanawali wapumbavu hawakuwa kuona kwamba wangalikuwa mafuta ya kutosha katika kila hali?
 • Fikiria sababu mbalimbali - fahamu kama vile unafahamu - kwa mtu asiyejali iwapo harusi ya rafiki yake itfanikiwa au la?
 • Kuna uhusiano gani kati ya wanawali wenye busara na wale wapumbavu?
 • Kwa nini hata wanawali wenye busara walikesha hadi usiku wa manane (5-7)?
 • Je, unafikiri kuhusu wanawali wenye busara kutowagawia mafuta wale rafiki zao (8-10)?
 • Bwana harusi lazima angewajua wasichana wote kumi kabla. Kwa nini alisema kwamba hakuwafahamu wale wapumbavu (11-12)?
  3. TAFSIRI
 • Yesu alimaanisha nani kutumia wanawali wenye busara?
 • Yesu alimaanisha nini kwa wajinga?
 • Tunapaswa kufanya maandalizi gani kwa ujio wa pili wa Yesu kutegemeana tafsiri tatu tofauti tulizochagua? (Angalia "Muktadha")
 • Kuna tofauti gani kati ya imani ya mtu ambaye yuko tayari kwa ajili ya ujio wa Yesu wa mara ya pili na ile ya wau wasiosubiria?
 • Je, unafikiria umefanya maandalizi ya kutosha kwa ajili ujio wa pili wa Yesu?
 • Je, Yesu alitaka kutufundisha nini kwa kuwafanya wanawali wote kumi wasinzie wakati wakisubiri (5.13)?
 • Ni lini na nikwa jinsi gani yesu alijifunza kujijua mwenyewe (12)?
 • Ni katika hali gani tunatakiwa tujifunze kuamini harusi yambinguni?
 • Je mstari wa 13 unasema kwako binafsi?
  HABARI NJEMA: Sisi kamwe hatutaweza kujifunza kumjua mtu mpaka yeye atutendee mabaya. Yesu hatoweza kutujua sisi katika hali halisi ya neno, kama hatuwezi kumwambia dhambi zetu na kumwomba msamaha.


  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster