GT Bible Studies    

    Swahili    


Navigation Glad Tidings Bible Studies in Swahili

2. GHARIKA Mwanzo 7UJUMBE WA AWALI. Linalofuata ni hitifaki ya Agani Jipya juu ya maisha ya Noa: Kwa imani Noa akiisha kuonywa na Mungu katika habari za mambo yasiyoonekana bado, kwa jinsi alivyomcha Mungu, aliunda safina, apate kuokoa nyumba yake. Na hivyo akauhukumu makosa ulimwengu, akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani. (Heb.11:7)
Mstari wa 1. Hapa Noa kwa mara nyingine anaitwa "mtakatifu" (tsaddik).
 • Je Noa aliamini nini hasa kulingana na Waebrania 11:7?
 • Je Imani na utakatifu vinausianaje kulingana na msatari huu wa Waebrania?
 • Je Imani ya Noa alibadilishaje maisha ya mke wake, wanaye na wakwe zake?
  7:1-5
 • Je unafikiri Noa alijiskiaje aliposikia sauti ya Mungu baada ya ukimya wa miaka mia mojae (2-4)?
 • Je ungefanyaje kama utasikia ghafula tu kuwa kutatokea na balaa kubwa la naman hii lingeikumba dunia (4)?

  7:6-16.
  Wanyama wote walifugwa wakati ule kwa sababu hawakuwindwa wala kuliwa
 • Je unafikiri Noa awawezaje kuwaongoza wanyanyama hawa wote kuingia katika safina katika kipindi cha juama mmoja (2-3, 8-9, 14-16)?
 • Je unafikiri majirani wa Noa wasikiaje walipoona uhamiajia wa ajabu wa wanyama?
 • Familia za wakwe wa Noa hawakuamini Mungu na safina.
 • Je unafikiri wanawake hawa waliingia katika safiana kwa Imani zao au ni kwa sababu ya Imani ya baba mkwe wao? ?
 • Kwa nini Mungu hakutana Noa afunge safina (16b)?
  11-12, 17-24. Dunia pengine ilizungukwa na wingu zito ambalo liliweza kupazuliwa. (Katika tafsiri zingine za Mwanzo2:5-6 anapata hizia hizo.) Yesu analinganisha wakati wa Noa na wakati wa miwsho wa dunia: Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Noa, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 38Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Noa katika safina, 39 wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.. (Matt.24:38-39).

 • Ni mambo gani ambayo yaliwafutia watu wa wakati wa Noa? Linganisha na watu wa kizazi chetu.
 • Kwa nini tukio hili liliwashangaza wengi japo Noa alihubiri miaka mia mmoja?
 • Ebu fikiri jinsi watu walijaribu kujiokoa na watoto wao wenyewe katika siku za kwanza za (21-23)?
 • Je unafikiri watu wa wakati wa Noa walifikiri nini juu ya mahubiri yake walipokuwa natazamia kufa?
 • Je watu wasio mcha Mungu wa wakati wetu wanaweza kukubali kuwa Wakaristo walikuwa sawa?
 • Je ni mawazo gani pengine waliyokuwa nayo familia ya Noa katika kipindi cha siku arobaini wakati dunia nzima ilijaa maji?
 • Je unafikiri Noa na familia yake walitumiaje mda wao ndani ya safina (24)?
  Petero anandika kama alama ya ubatizo (1.Petero.3:20-21): Katika safina roho nane ziliokolewa kwa maji. N ahili liliashiria ubatizo ambao unakuokoa sasa- si kwa kuosha uchafu wa mwili ila kwa kukubaliwa kwa dhamiri safi kwa Mungu - kwa kufufuka kwa Yesu Kristo.
 • Je kuna uhuziano gani katika ya ubatiso wa Kikristo na safina ya Noa?
 • Je maneo ya Petero yanatuonyesha nini kuwa upatiso ni kitu ambacho Mungu anatutendea kwa huruma zake na wala si yale ambayo tunamfanyia?

  ***

  Version for printing    
  Downloads    
  Contact us    
  Webmaster