3. MAJI YABADILIKA KUWA MVINYO 2:1-11HISTORIA: Harusi ilikuwa ni tukio kubwa katika siku za Yesu. Kwa kawaida ilidumu kwa siku kadhaa. umbali kati ya Nazareth na Kana ilikuwa kilomita 12. Mama yake Yesu alikuwa bado hajaona muujiza wa kwanza wa mtoto wake, lakini yeye mwenyewe alishashuhudia muiujiza ya kuzaliwa na bikira.

1. Je, sababu gani ilipelekea mvinyo uishe katika harusi hii? Fikiria wezekano mbalimbali.
a) Je, unadhani ni nini kiliwapa hofu wanafaamilia/wanandoa katika hali ile?

 • Je, unafikiria Maria aliandaliwa kwa ajili ya muujiza uliofanyika katika harusi hii? Toa sababu yako. Mstari wa 3 una maombi ya Maria na Yesu. Linganisha na sala yako mwenyewe uone ni nini kiko tofauti.

  3. Kwa nini Maria hakukata taamaa pale Yesu alipokataa kufuata dokezo lake?
 • Maria aliamoni nini kwa mwanawe katika hatua hii?
 • Kwa nini yesu hakutenda miujiza ingawa yeye labda hakupanga kufanya hivyo?
  4. Ni katika hali gani tunahitaji imani kama ya Maria?
  5. Unafikiria ni Jinsi watumishi walijisikia kuhusu kubeba mamia ya lita za maji kutoka kwene kisima cha kijiji wakati sherehe ya harusi ikiendelea? Kwa nini watumishi walifanya kama Yesu alivyowaamuru?

  6. Inachukua muda gani kutengeneza mvinyo mzuri?
 • Je bei kwa sasa kwa mvinyo huo ni kiasi gani(6)?

  7. Unafikiria watumishi walijisikiaje baada ya maji kubadilika na kuwa mvinyo?
 • Je, unafikiri kwamba watumishi wote hawa walimwamini Yesu baada ya kutenda hayo? Toa sababu zako.

 • Neno "utukufu" katika Biblia inamaanisha kuwa uwepo wa Mungu ni inayoonekana kwa macho yetu. Utukufu wa Mungu mara ya kwanza ulikuwa katika hema na Hekaluni. Ina maana gani, basi, kwamba Yesu akaonyesha utukufu wake kwa wanafunzi wake kupitia ishara hii (11)?

 • Kwa nini John katika injili yake alikataa kuita miujiza ya Yesu kama "miujiza" lakini badala yake kama "ishara"?

  8. Yohana ametueleza baadaye kwamba utukufu wa Mungu ulifunuliwa pia katika mateso ya Yesu. Je, inamaanisha nini?
  9. Je wanafunzi waliamini nini kuhusu Yesu baada ya ishara hii?
 • Kwa nini imani ya wanafunzi bado haikuwa tayari?

  HABARI NJEMA: Katika Agano la Kale mvinyo uliunganishwa na ambaye atakuja kutoka Yuda.Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda… hadi mlengwa atakaporudi…atazifua nguo zake kwa mvinyo.. …" (Mwa.49:10-11) Katika Agano Jipya mvinyo unahusu damu ya Yesu imwagikayo kwa ajili ya msamaha wa dhambi zetu


  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com