16. MKUU KAMA MTUMWA 13:1-17HISTORIA: Yesu alikodi chumba na aliuliza wanafunzi wake kuandaa mlo wa Pasaka huko. Maji, beseni na taulo walikuwa navyo katika mikono yao, lakini hakuna mtumishi alikuwa huko kumsafisha miguu kila mtu kabla ya mlo. Watu walikula katika nafasi nusu wakilala, na miguu najisi ya jirani inaweza kupunguza hamu ya mtu.

1. Yesu alijua kwamba atakufa siku ya pili. Ungefanya nini leo kama ukijua kwamba utakufa kesho?
 • Mstari wa 3 ina nini cha kufanya na wengine katika hadithi hii?
  2. Kwa nni hakuna mfuasi yeyote aliyetaka kufanya kazi ya utumwa? (Kwa nini hata kwa udogo wa kampuni ilishindikana kutumikia wengine kwa kuwaosha miguu?)
 • Unafikiria kwa nini "kauli ya ufugaji" muhimu kwa ajili yetu binadamu?

  3. Unadhani ni kwa jinsi gani wafuasi waliona wakati kuanzia Pasaka pamoja na miguu najisi?
 • Kwa nini unafikiria Yesu aliwaosha miguu wafuasi tu baada ya kuanza kula?
  4. Kwani Yesu alitaka kujidhihisha yeye mwenyewe kupitia tendo hili?
  5. Ungejisikiaje endapo Yesu angefanya jambo ulilokuwa tayari ulikwishalifanya?
  6. Kwa nii Peter alikataa kuoshwa na Yesu (6-8)?
 • Maneno katika mstari 8a yanaelezea nini kuhusu Peter?
 • Kwa nini unadhani mtu hana nafasi ya kushirikiana Yesu kama atakataa kuoshwa (8b)?

  7. Kwa nini unafikiria Peter alitaka ghafla kuoshwa mikono, kichwa, miguu na Yesu?
 • Yesu anamaanisha nini alivyomjibu Petro katika mstari wa 10? (Alimaanisha nini kusema “kusafishwa", vipi kuhusu “kusafisha miguu ya mtu"?)
 • Unaweza kusema Yesu amesafishia dhambi zako mbali? Kama ndiyo – ni wapi na ni lini ilitokea?

  8. Kwa nini Yesu alitaka kumwosha miguu Yuda (2, 11)?
 • Unafikiria Yuda alichukuliaje yesu alipompigia magoti?
 • Unafikiria Yuda aliamini katika upendo wa Yesu (1)?
 • Ni kosa gani kubwa lililofanywa na Yuda?

  9. Jinsi gani Wakristo katika siku zetu wanaweza kufuata mfano wa Yesu alituwekea hapa (12-17)?
 • Kwa nini ni vigumu kwa Mkristo kuosha miguu ya wengine, iwapo bado hajamruhusu Yesu amwoshe miguu yake kwanza?
  10. Why does this particular act of Jesus show “the full extent of his love" (1)?

  HABARI NJEMA: Yesu kuhusishwa na kazi ya mtumishi au mtumwa na kifo chake mwenyewe juu ya msalaba kwa kusema: "Yeyote anayetaka kuwa mkubwa katikati yenu lazima awe mtumishi wenu, na yeyote anayetaka kuwa wa kwanza lazima awe mtumishi wa wote. Maana Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi." (Mark 10:43-45).


  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com