23. NJE YA KABURI WAZI 20:11-18HISTORIA: Kiongozi lazima asome Luka 8:1-3, inayotuelezea maisha ya zamani ya Maria Magdalena. Maria, tofauti na wanafunzi wengine, aalisimama karibu na msalaba kwa uchungu na hata alishuhudia mazishi ya Yesu (Mathayo 27: 61). neno "Mwalimu" (16) lina maana ya nguvu zaidi kuliko "rabbi" (mwalimu).

1. Unadhani maisha ya Maria yalikuwaje alipomiliki roho maya za kishetani. (Kila siku ilikuwaje, kuhusu mahusiano yake binafsi, vipi kuhusu "inafaa" kilichosababisha roho za kishetani ...?)
 • Unadhani mambo yalikuwaje kwa Maria Magdalena katika kipindi cha miaka aliyosafiri nchini kote na Yesu
 • Maria hakuwa na upendo gani kwa Yesu? Angalia katika suala alilotumia kuhusu yeye (13,16,18).
  2. Inatuonyesha nini sisi kuhusu Maria kuwa Karibu na msalaba mpaka mwisho wa machungu, na hata alipoona mazishi Yesu?
 • Unadhani Maria alitumiaje siku mbili usiku na kutwa moja baada ya Yesu kufa?

  3. Kwa nini Maria hakutaka kuondoka eneo la kaburi ingawa ilikuwa tupu (11)?
 • Kwa nini ilikuwa tukio kubwa kwa Mariamu kutokuona mwili wa Yesu na kugusa tena?
  4. Kwa nini Maria alionekana kushangazwa na wote baada ya kuona malaika wawili kaburini? Fikiria maelezo mbalimbali (12-13).

  5. Kwa nini Maria hakumtambua Yesu baada ya kumwona na kuzungumza naye - fikiria sababu mbalimbali (14).
 • Je, ilishawahi kukutokea wewe kwamba Yesu alikuwa karibu na wewe wakati wa huzuni, lakini hukumtambua? Kama ilikutokea, katika mazingira gani?

  6. Kwa nini malaika wote na Yesu walimuuliza Maria kwa nini alikuwa analia - lazima tunajua hilo tayari?
 • Kwa nini Yesu alitaka kumwambia sababu ya machozi yako, kitu ambacho alikuwa tayari anakifahamu?
 • Je, unafikiri machozi ya Maria yalikuwa ya bure? Toa sababu.
 • Tunawezaje kujua kama machozi yako ni bure au la?

  7. Nini kilimfanya Mary hatimaye amtambue Yesu (15-16)?
 • Kwa nini Yesu hakutaka Maria kuchukua hisia zake (17)?
 • Tunaweza kujifunza nini kutokana na tabia katika hali hii ya Yesu kama mtu?

  8. Wanawake hawakukubalika kama mashahidi katika mahakama wakati huo. Kwa nini Yesu aliononekana kwanza kwa mwanamke,na kufanya shahidi wa kwanza wa ufufuo wake?
 • Yesu hakuwa amefungwa na sheria ya haki ya jamii yake, kwa mfano ubaguzi au kanuni kali kuhusu Sabato. Kwa nini yeye hakumfanya Mary mtume wake wa kumi na mbili badala ya Yuda?
  9. Unadhani ni kwa Jinsi gani ufufuo wa Yesu ulibadili maisha ya Maria?
 • Ni matarajio gani ufufuo wa Yesu umebadili maisha yako?


  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com