10. MSINGI WA MAISHA YAKO Luka 6:45-49


1. Je Yesu anamsema nani katika mst.45?
2. Kuna mambo gani yana tabia sawa kati ya nyumba na maisha ya mtu? tafutata kwa wingi uwezavyo.
 • Kwa nini watu wengi wanafikiria tu juu ya sehemu ya mbele ya nyumba/ maisha kuwa muhimu kuliko msingi?
  3. Je kuna vitu gani ambao watu wanatengeneza ili kuweza kuweka msingi wa maisha yao?
 • Kwa nini watu wengi hujenga maisha yao bila "kuchimba kwa kina" kwanza?
  4. Yesu anamaanisha nini kwa kusema "mafuriko" au "mbubujiko" ambayo unaweza kukumba maisha ya mwanadamu?
 • Je unawezaje kutawala hali kama maisha yako yatapiwa na "mafuriko" ambayo inakuogopesha?
  5. Kulingana fumbo hili, "mafuriko" ambayo imepigwa katika maisha ya Wakritsto na wale wasio Wakristo. Kwa Wakaristo hawaachwi?
  6. Fikiria kipindi ambacho maisha yako ulikumbwa na. Ushikiria nini wakati ule?
 • Je maneno ya Yesu yalikuzaidiaje wakatika wa dhiki? tafathdhali tushirikishe.
  7. Ni nini kitatendeka kwa mtu ambaye nyumba yake ikivunjika? (Atakuwa na maisha gani baada ya dhiki?)
  8. Kutakuwa na sababu gani kwa mtu ambaye anasikia maneno ya Yesu lakini hatendi hivyo?
 • Kuna nini ambacho kitamfanya mtu kuweka maneno ya Yesu katika vitendo?
 • Je unaegemea upande gani katika vikundi hivi viwili? (Jibu katika moyo wako.)
  9. Kuweka maneno ya Yesu katika vitendo ina┬┤maana miongoni mwa mambo ambayo tuliambiwa kipindi kilochopita: Mpende jiarani yako. Je unaweza kuseoma kuwa maneno haya yamekuwa msingi wa maisha yako?
  10. Neno "mwamba" lina maana nyingine zaidi katika Biblia. Paulo anasema katika 1.Wakorintho.10:4: "Mwamba ulikuwa Kristo." Je kuna tofauti gani kama ukijenga maisha yako katika amri za Yesu (Amri) au kama utajenga maisha yako katika Yesu mwenyewe (Injili)?
  11. Yesu mwenyewe alishika mari zote. Kwa nini basi "mafuriko" yaliharibu maisha yako?  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com