17. KITU CHA PEKEE KINACHOHITAJIKA Luka 10:38-42


KUMBUKA: Nafasi ya wanawake haikuwa sawa wakati wa Yesu kama ilivyo sasa. Pamoja na vitu mambo mengine , wanawake wasingalisoma Biblia pamoja na wanaume.
1. Je unategemea nini kutoka kwa zaidi kutoka kwa kumtembelea rafiki mzuri?
 • Yesu na wanafunzi wake walikuwa nje siku nzima. Je unafikiri walitegemea nini kutokana na kukaa kwao katika nyumba ya dada hawa wawili?
  2. Ebu fikiri juu ya hisia za Martha na Mariamu kuzulu kwa Yesu. Ni lipi raisin a kwa nini ni raisi kuelewa na kwa nini?
  3. Tunaweza kuona shida ya Martha katika mstari wa 40. Ilikuwa nini?
 • Nini kilimfanya Martha kufadhaishwa na Yesus na wala si dada yake tu?
 • Ni katika hali gani unaweza kusema kwa Yesu: "Bwana, huoni vibaya...?"
  4. Je Mariamu alifikiri juu ya chakula cha jioni?
 • Kwa nini Yesu angalitaka mariamu pia kusikiliza mafundisho yake?
  5. Dhambi ya wakristo wana moyo wa kumtumikia Yesu kuliko musikiliza sauti yake. Kwa nini?
 • Inaonyesha nini juu uhusiano kati ya watu wawili kama mmoja kati yao hana moyo wa kusikiliza mwingine anachotaka kusema?
  6. Yesu ana maanisha nini kwa; lakini kinatakiwa kitu kimoja tu " (42)?
 • Je unakubaliana kuwa kumsikiliza Yesu ndicho kitu cha pekee ambacho unahitaji maishani na kifo?
  7. Kwa nini Yesu anataka usikilize neon lake muda wote?
 • Nini kitatendeka kwetu kama tukimsikiliza Yesu kwa kipindi fulani?
 • Wapi na jinsi gani tunaweza kusikiliza maneno ya Yesu siku hizi?
  8. Tukiamua kufanya jambo fulani, ina maana kuwa tuna amua kuacha jambo linguine katikati ili tupate nafasi kuseoma Biblia and kwenda katika mikutano ya Kikristo?
  9. Ni nani unafikiri Yesu alipenda zaidi, Martha au Mairmu?
 • Ni mstari gani katika hii mistari unafikiri Yesus anakuzugumzai wewe leo: mstari wa 41 au 42?
  10. Kitu kinachohitajika katika maisha haya na kifo ni kusikiliza neon la Mungu. Kwa Yesu hakuyasikiliza alipokuangikwa msalabani?  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com