18. SAMAKI AU NYOKA? Luka 11:5-13


1. Yesu anataka kufundiaha juu ya maombi kupitia kwa mfano huu mdogo katika somo hili. Je unapa kufanana gani unapata katika hali yako ile ya Yule mwanaume katika mfano huu?
 • Ni katika hali gani umedai katika maombi yako kama vile huyu mwanaume katika mfano huu?
  2. Rafiki ndani ya nyumba anaonekana kutokubali kufanya kama anavyo ulizwa. Kwa nini Yesu anamfananisha Mungu kama "Rafiki" hivyo?
  3. Ni nini kilichomfanya mtu wa kwanza kusisitiza hadi apipotpata alichokitaka?
 • Tunaweza kupata wapi uvumilivu katika kuomba hadi Mungu atakapo jibu maombi yetu?
  4. Fundisho juu ya maombi yetu anatumia tenzi mbalimbali: kuomba, kutafuta, na kupisha (9-10). Ni kipengele gani katika maisha ya maombi yetu vitenzi hivi vinaelezea?
 • Mda huu kuna kitu gani ambacho umeomba ili upate, unatafuta na kupisha ili upokee? (Jibu moyoni mwako.)
  5. Intufundisha nini Yesu anapofananisha na motto kuomba kitu kutoka kwa baba yake?
 • NI kwa njia gani baba yetu wa mbinguni anafanana na Yule baba yetu wa hapa duniani ?
  6. Nini baba ambaye mwenye upendo anafanya kwa mtoto wake kama anajua kuwa kitu anacho kiomba si kitu kizuri kwake?
 • Tutajuaje kama tunacho kiomba kwa ajili ya wapendwa wetu ni kizuri kwao na kwetu pia?
  7. Je umewahi kupata kuwa kitu mabacho ulifikiri kwanza ni "nyoka" umegeuka baadaye kuwa "samaki" (or au labda kinyume chake)? Tusimulie.
  8. Ni nini ambacho ni muhimu kwako: Kwamba Mungu anaweza kujibu maombi yako sasa au anaweza kujibu katika ulimwengu mpya na mbingu mpya? Toa sababu.
  9. "Tazama, mkono wa BWANA haukupunguka, hata usiweze kuokoa wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia; 2lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia." (Is.59:1-2). Fikiria juu ya mistari hii kabla hujajibu swali lifwatalo: Kwa nini Mungu hakusikia sauti ya mwanae alipoomba msalabani.?


  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com