22. MWANA MKE MWENYE NUNDU Luka 13:10-17


KUMBUKA: Hekalu palikuwa ni mahali ambapo watu walikusanyika kila Jumamosi kusikiliza neno la Mungu. Wanawake hakuwa na sauti katika mambo yanayohusu dini wakati hule; walikaa au kusimama barazani au katika vitu vya nyuma. Hatujui nini kilikuwa shida katika mogongo wa huyu mwanamke, lakini pengine alikuwa na nundu.
1. Ebu fikiria maisha ya kila siku ya huyu mwanamke kwa kipindi cha miaka 18 ya ulevamvu wake.
 • Je unafikiri watu walimtendeaje huyu mwanamke mwenye nundu (14)?
  2 Kama ungelemaa wakati wa ujana wako, je unafikiri ni kitu gani ambacho kingalikuwa kigumu kwako?
 • Kama ungalilemaa wakati bado ukiwa kijana wako je ungefikiri nini juu ya Mungu ambaye alikubali litendeke?
  3. Yesu aliposhughulika na walio kupakawa na pepo alizungumza na peopo moja kwa moja. Katika somo hili hakufnya hivyo kumaanisha kuwa huyu mwanamke hakupawa. Je Yesu anamaanisha nini anaposema kuwa ni Shetani aliyemfunga (16)?
 • Ni vitu gani ambavyo vinaweza kutufunga sisi watu ili kwamba hatuwezi kuishia maisha kamili?
  4. Huyu mwanamke hakuja Hekaluni ili kuponywa. Alikuja kufanya nini?
 • Ilimaanisha nini kwa huyu mwanamke kusikiliza neon la Mungu mara moja kwa Juma?
  5. Kwa nini huyu mwanamke hakumwomba Yesu msaada? Fikiria sababu mbalimbali.
 • Je unafikiri alijisikiaje wakati Yesu alimwita kuja mbele na has mbele ya watu wote?
 • Ni nini kilichomfanya afanye kama vile Yesus alimwomba kufanya?
  6. Kulingana na kifungu hiki, ni nini kinachowazaidia watu ambao kwa njia moja au nyingine wamefungwa na Shetani? (Singatia kifungu!)
  7. Yesu anamaanisha nini anapomwita Yule mwanamke "uzao wa Ibrahimu? Fikiria uwezekano mbalimbali. (Kwa Ibrahimu "? ( tazama muhtasari katika somo la #28.)
  8. Je mtazamo wa Yesu kwa Yule mwanamke unatofautianaje na wa Yule mkuu ya Hekalu?
 • Mkuu wa Hekalu alifikiri kuwa alimwamini Mungu. Je ni nini kilikosa katika imani yake?
 • Ni nini kilichomfunga yule mkuu wa?
  HABARI NJEMA: Shetani mwishowe alimfunga Yesu mwenyewe- kwa misumari msalabani. Hii ndio sababau sasa anaweza kuwafungua kutoka vifungo vya shetani wote ambao wanaotaka kuwa huru.  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com