28. TAJIRI NA LAZARO Luka 16:19-31


KUMBUKA: Abraham alikuwa mtu mwenye sifa kuu kwa Wayahudi na baba wa Imani kwa Wakristo. Alikuwa mtu tajiri. Jina "Lazarus" maana yake ni kwamba "Mtu ambaye Mungu anamzaidia" au kwa uraisi "Mungu anazaidia". Huu ndio mda tu ambayo Yesu alitoa jina katika mtendaji katika mifano. "Musa na Manabii" ni kufupi cha "Agano la Kale" Biblia ya wakati wa Yesu.
1. Ni vitu gani vizuri ambavyo huyu mtu tajiri alifuahia wakati wa maisha yake? Fikiria kwa wingi uwezavyo.
 • Je unaweza kufikiria kitu chochote jema katika maisha ya Lazarus wakati akiwa duniani?
  2. Kwa nini tajari hakumzaidia masikini Laazaro japo alimwona kila mara alipotoka nje?
 • Kama mtu angetendea mototo wako kama vile tajiri alivyomtenda Lazaro, je unafikiri hukumu gani itafaa?
 • Je Lazaro wa leo ni nani ambaye ungehitaji kuzaidia? (Kumbuka watu wengine wana njaa ya mambo mengine kuliko chakula.)
  3. Kwa nini mtu apewe jina kama "Mungu anazaidia" kwa motto wake? Fikiria sababu mbalimbali?
 • Je sababu ni hasa ambayo alitaka kumpa jina huyu masikini katika mfano wake ?
 • Je Mungu alimzaidia Lazaro?
  4. Kuna uwezaekano mkubwa sana kwamba Lazaro alimwomba Mungu ili ampe afya njema na liziki ya kila siku.
  Angezaje kuendelea kumwamini Mungu ambaye hakujibu maombi yake jinsi alivyotaka?
 • Je kama Lazaro asingali mwamini Mungu, maisha yake yangalikuwaje tofauti?
  5. Lazaro alipokufa, kuna uwezekano mkubwa kwamba litupwa katika kaburi la masikini bila mazishi. "Yule tajiri naye akafa, akazikwa", maandiko yamasema (22). NI hotuba ya iana gani ambayo labda ilitolewa katika mazishi yake?
  6. Kwa nini tajari alitupwa Jehanamu?
 • Kwa nini Lazaro alikubaliwa mbinguni?
  7. Tajiri na Ibrahamu walizungumza katika mstari wa 27-31 jinsi watu wanaweza kufahamu Mungu na wameokolewa. Je mtu tajiri alifikiri nini juu ya hili?
 • Kulingana na Ibrahimu, kwa nini muujiza hauleti imani?
  8. Kwa nini mtu yeyote hawezi kuokolewa bila Biblia (29-31)?

  9. I kwa njia gani maisha ya Lazaro yanfanana nay ale ya Yesu? (Singatia, mateso yao na imani zao n.k.)
 • Yesu alitapili nini kuhusu kufufuka kwake (31)?
  10. Yesu anafundisha nini juu ya "injili ya utajiri" kupitia kwa mfano huu? (Kama hujui, unaweza kuruka swali hili.)  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com