33. MFANO WA MWISHO Luka 20:9-19


KUMBUKA: Misabibu ilinaanisha kwanza Wayahudi, kwa viongozi wao hasa, lakini sasa inamaanisha Kanisa la Kikristo katika nyakati za mwisho.
1. Je wapangaji wa ardhi walifikiri mweye shamba ni mtu wa aina gani?
 • Je kosa la wapangaji lilikuwa nini juu ya mwenye shamba?
 • Ni uhusiano aina gaki kati aya Munguna mwanadamu ambao Yesu anataka kuongeysha kwa mfano huu?
  2. Kwa nini mwenye shamba hakuingialia mtumishi wa kwanza aliporudi mikono mitupu (10)?
 • Je unafikiri ni kwa nini matendo ya wapanganji yaliendelea kuwa mabaya kila wakati (10-12)?
 • Kwa nini Mungu hakuweza kuzuia watumishi wake kutendewa vibaya and kutezwa?
  3. Je Mungu anatarajia matunda aina gani kutoka kwetu ?
 • Ni matunda aina gani Mungu anatarajia kutoka Kanisa letu?
 • Ni kwa sababu gani mara nyingi ni vigumu kumpa Mungu matunda ya kazi yetu?
  4. Mwnye shamba alikuwa na kusudi gani alipo mtuma mwanae mpendwa shamabani?
 • Ni kwa sababu gani unaweza kumtuma mwanao kwa mahali sawa sawa na hapo kwa hatari ya maisha yake.?
 • Je ni kwa nini dunia ni muhimu kwa Mungu hadi Mungu kumtoa mwanae wa pekee hapa?
  5. Ni nini kilichowafnya wapangaji kuwa na ujasiri hadi kumtuma mtoto wa Bwana wao?
 • Ni nini kiliwafanya watu kuwa na ujasiri hadi kumuua mwana wa Mungu?
 • Ni kwa njia gani tuko na hati kwa kifo cha Yesu?
  6. Ni nini kitafanyika kwa wale wote ambao wana hatia katika kifo cha Yesu (16)?
 • Je unaweza kuhuzisha matari wa 16 kwa Kanisa la Kikristo nyakati za mwisho?
  7. Baada ya kumaliza mfano wa wapangaji Yeus alitumia picha inayofahamika kutabili juu ya kifo chake: jiwe la pembeni. Je mistari ya 17-18 inamaanisha nini?
 • Ni nini kinachofanya Kanisa au mtu binafsi kutpa jiwe la pembeni la Imani yao?
  8. Ni nini ambacho Yesu alitaka kusema kupitia mfano wake wa mwisho kwa viongozi wa Wayahudi?
 • Je Yesu anataka kusema nini kwa viongozi wa Kanisa kupitia kwa mfano huu?
 • Yesu anataka kusema nini kwawako kupita kwa mfano huu?


  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com