34. SADAKA YA MJANE Luka 21:1-4


KUMBUKA: Kuna ahadi nyingi kwa ajili ya wajane na yatima katika agano la Kale, kwa mfano Zaburi 10:14,17, 18 na 68:5. Pengine mjane katika somo letu alikuwa amesikia juu ya ahdi hizi. Sadaka zilitumika kwa ujenzi wa Hekalu, ambalo lilimalizika mnamo mwaka wa AD 63 na kuharibiwa AD 70 - miaka arobaini baada ya matukio haya.
1. Kwa nini watu hutoa sadaka katika dini zote?
 • Marko katika masimulizi yake ya hadithi hii antwambia kwamba makusanyo yalikwekwa katik ahali ambayo inaonekana (Marko 12:41). Je mtoaji anaweza kuwa na uzawishi wa aiga gani kama watu wengine wangalifahamu mwishowe alitoa kiasi gani?
 • Je mjane huru angalikuwa na mawazo gani kama angalifahamu kuwa Yeus alikuwa anamtazama kwa makini?
  2. Jamni ya Kiyahudi hakuwa na mfuno wa utunzanjia wa kijamii na wala halikuwaruhusu wanawake kufanya kazi nje ya nyumbani. Fikiri ulikuwa umepoteza mme na unajaribu kulea watoto katika hali ile. Nini kingalikuwa kigumu kufanya?
 • Kama ungalikuwa katika hali ilisemwa hapo juu, ungemtolea nani au kwa ajili ya kitu gani ungalitoa hela yako ya mwisho?
  3. Ni nini kinachomfanya mtu kumtolea Mungu "vyote alivyo navyo ambavyo alitegemea" (4b)? Fikiria uwezekano mbali mbali.
  4. Kama ungalimlazimisha mjane kuota hela yake ya miwsho, ungalifikiria nini juu ya Mungu wa aina hiyo?
 • Je Imani ya hawa watu wawili ilitofautianje: Yule ambaye anamtolea Mungu huku aikiwa na shukrani kwa alivyo navyo na mwingine ambaye anamtolea ili kuweza kupata kitu kutoka kwake.?
  5. Je Imani ya huyu mjane ilikuaje?
 • Je huyu mjane alizawishikaje kuwa Mungu angetunza watoto wake?
 • Je ni vigumu kwako kuamini kwamba Mungu atakutunza wewe na watoto wako kifedha pia?
  6. Mjane huyu alikuwa amepata nini kutoka kwa Mungu?
 • Je umepata nini kutoka kwa Mungu (linganisha na mjane huyu)?
  7. Je unafikiri watoto wa mjane huyu walienda nyumbani bila chakula usiku ule? Toa sababu.
 • NI nini unafikiri kina madhara kwa watoto wako/ wajukuu: Kwa wanaweza kutezeka kwa kukosa au au kupata kila ambacho wange kihitaji?

  8. Je Mungu angependa umpe nini au jirani yako ambaye anatezekana leo? Unaweza kujibu katika moyo wako kama ungependa.
  9. Je majane huyu aliwaachia nini watoto wake kama urithi?
 • LInganisha urithi ambao matajiri katika somo hili walichia watoto wao na ule yule mjane aliacha.
 • Je ungependa kuwaachia watoto wako nini utakapokufa?
  HABARI NJEMA: Dhambi zetu zinalinganishwa na kiasi kikubwa cha pesa katika Biblia- talanta elifu kumi. Kila mmoja wetu ambaye hawezi kulipa atatupwa gerezani (k.m.. motoni). Yesu alipotaka kutununua kutoka deni kubwa alitoa "kila alichokuwa nacho tegemea" - na damu yake ya thamani.
  ***

  ? 2009 Glad Tidings Bible Studies in Swahili - www.gladtidings-bs.com